Tume ya Kupambana na Ufisadi nchini EACC imesutwa kwa ubaguzi Trans Nzoia

  • | West TV
    40 views
    Mwakilishi wa wadi ya Sikhendu katika kaunti ya Trans Nzoia amejitokeza na kushutumu tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC kwa kuwabagua viongozi katika kaunti hiyo akidai kuwa tume hilo linatumia vibaya fedha za mlipa ushuru