- 388 viewsDuration: 1:50Kamati ya utekelezwaji wa ajenda kumi na ripoti ya NADCO, imewaonya wanasiasa dhidi ya kuingilia zoezi la kuwafidia waathiriwa wa ukiukwaji wa haki za kibinadamu nchini. Kamati hiyo iliyowasilisha ripoti yake kwa tume ya kutetea haki za binadamu KNCHR amedhibitsha kuwa juhudi za kutekeleza zoezi hilo la fidia zimeshika kasi.