Tume ya mishahara imesitisha nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi wa umma

  • | Citizen TV
    123 views

    Tume ya mishahara imesitisha nyongeza ya mishahara ya mwaka wa kifedha wa 2024/25 kwa maafisa wa umma.SRC inasema kuwa hatua hiyo imetokana na hali ya kiuchumi nchini na kupungua kwa bajeti kufuatia kufutiliwa mbali kwa mswada wa fedha wa mwaka 2024.