Tume ya mshikamano wa kitaifa NCIC imewaonya wanasiasa wanaotoa matamshi ya chuki

  • | KBC Video
    Tume ya mshikamano wa kitaifa NCIC inawaonya wanasiasa wanaotoa matamshi ya chuki kwamba watachukuliwa hatua.Mwenyekiti wa tume hiyo reverend dkt. Samuel Kobia anasema tume hiyo itaajitahidi kuhakikisha wakenya wanaishi kwa utangamano na kwamba wale watakaochochea ghasia watachukuliwa hatua za kisheria.Kulingana na Kobia tume hiyo inawachunguza viongozi kadhaa kwa madai ya kutoa matamshi ya chuki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive