Tume ya TSC inakabiliwa na kibarua cha bajeti

  • | Citizen TV
    340 views

    Tume ya kuwajiri walimu TSC inakabiliwa na kitendawili cha jinsi ya kufanikisha mpango wa kuwaajiri walimu wa sekondari msingi 46,000 kwa kazi za kudumu. Hii ni baada ya kupata mgao wa shilingi bilioni 13.4 katika bajeti ya Mwaka wa Fedha wa 2024/2025. Kiwango hiki kikiwa chini ya shilingi Bilioni 18.7 ambazo Kamati ya Bunge la Kitaifa ya Bajeti ilisema imetenga