Tume ya TSC yafanya kikao na wadau wa elimu mjini Kapsabet kuhusu mbinu za kuimarisha masomo

  • | Citizen TV
    184 views

    Tume ya walimu nchini - TSC- imefanya kikao na wadau wa elimu mjini kapsabet katika juhudi za kukusanya maoni kuhusu mbinu za kuimarisha masomo nchini.