Tume ya Uchaguzi Kenya yakamilisha kusambaza vifaa nchini

  • | VOA Swahili
    77 views
    Wakenya wako tayari kwa uchaguzi mkuu wa urais 2022 ambapo Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imeeleza kuwa zoezi la kusambaza vifaa vya kupiga kura linaendelea nchi nzima, ikiwa ni vifaa vya mwisho kusambazwa leo Jumatatu kote nchini. Jumanne wananchi wanaanza kupiga kura. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.