'Tume ya Uchaguzi Tanzania lazima ijiuzulu'

  • | VOA Swahili
    197 views
    Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani ACT Wazalendo Tanzania Shaibu Ado asema ni lazima Tume ya Uchaguzi ijiuzulu licha ya sheria za uchaguzi zilizopitishwa kutoa unafuu kiasi. ... ni hatua tumepiga hatujapata mambo yote tunayo yataka lakini ni h.atua muhimu," anaeleza. Ungana na mwandishi wetu Abdushakur Aboud katika mahojiano haya maalum... #actwazalendo #upinzani #act #mwenyekiti #shaibuado #tumeyauchaguzi #kujiuzulu #voa #voaswahili #rais #tanzania #zanzibar