Skip to main content
Skip to main content

Tume ya uchunguzi yasema watu 518 walifariki dunia katika ghasia za uchaguzi Tanzania

  • | BBC Swahili
    31,129 views
    Duration: 4:07:48
    Ripoti ya tume iliyoundwa na serikali kuchunguza matukio ya vurugu ya wakati na baada ya uchaguzi imewasilishwa kwa rais. Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua. Katika ripoti hii kuna mambo kasha ya kuyazingatia.