'Tuna hasira kwasababu kilichotokea sio sawa"

  • | BBC Swahili
    440 views
    Familia ya Nahel M, mvulana mwenye umri wa miaka 17 aliyeuawa na afisa wa polisi, imeambia BBC haiamini kama ghasia zilizoonekana kote Ufaransa katika siku za hivi karibuni zitaleta haki ya kifo chake. Nahel M alipigwa risasi moja kwa moja na polisi baada ya kushindwa kusimama ili kukaguliwa na askari wa barabarani Jumanne iliyopita. "Hatujaitisha ghasia bali matembezi ya amani kwa ajili ya Nahel M," ndugu huyo ambaye jina lake halikujulikana aliambia BBC. #bbcswahili #ufaransa #paris