'Tuna majirani tisa, mmoja tu ndio huwa analeta shida ila DRC inaweza kulisha Afrika nzima'

  • | BBC Swahili
    4,062 views
    Miaka 65 ya BBC Swahili imefanya mahojiano na Waziri wa mazingira wa nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Eve Bazaiba kuhusu masuala mbalimbali na kuzungumzia kuhusu utajiri mkubwa ambao nchi hiyo unao na hausadii tu watu wa Congo bali bara zima la Afrika. #bbcswahili65 #bbcswahili #drc