"Tunaangalia wezi wakibeba watoto wetu."

  • | BBC Swahili
    716 views
    Zaidi ya watoto 280 walitekwa nyara kaskazini mwa Nigeria wiki iliyopita na familia zao bado zinahangaika kuwatafuta. Mtoto wa Rahinatu alikuwa mmoja wa wale waliotekwa nyara. Anasema ameshindwa kulala na mara ya mwisho alimuona aliporudi nyumbani kuchukua penseli ambayo alikuwa amesahau. "Ilikuwa wakati wa kukusanyika asubuhi ambapo tulisikia milio ya risasi", #bbcswahili #nigeria #Utekajinyara Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw