Tunaangazia kilimo cha nyasi katika kaunti ya Baringo

  • | Citizen TV
    754 views

    Jamii za wafugaji katika maeneo kame nchini zimekumbwa na changamoto nyingi haswa wakati wa kiangazi. Wakulima wadogo hata hivyo wameanza kujihusisha na kilimo kinachochangia uhifadhi wa mazingira na kutoa lishe kwa mifugo. Katika Kaunti ya Baringo kikundi kimoja cha wakulima kimevalia njuga kilimo cha nyasi