Tunaangazia kuganda kwa damu kwenye mishipa

  • | Citizen TV
    434 views

    Damu kuganda kwenye mishipa ni matatizo ambalo si geni ila linahitaji uangalifu mkubwa kwa linayempata. Kwenye siha na maumbile hii Leo, Daktari Tae Young Ominde wa kituo cha Equity Afia bamburi, anatujuza mengi kuhusiana na tatizo la damu kuganda kwenye mishipa.