"Tunaiambia serikali punda amechoka" - Raila Odinga

  • | BBC Swahili
    831 views
    kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ameunga mkono msimamo wa mahakama kuhusu Sheria ya Fedha 2023. Raila Odinga ambaye wiki iliyopita alitangaza awamu nyingine ya maandamano kuanzia jumatano wiki hii, amesisitiza kuwa upinzani hautaahirisha maandamano hayo licha ya uamuzi huo. #bbcswahili #kenya #railaodinga