'Tunapenda utamaduni wa Urusi Afrika ya Kati'

  • | BBC Swahili
    349 views
    Wakati vita vya Ukraine vikichochea uhasama kati ya Urusi na mataifa mengi ya Magharibi, Moscow inaendelea kustawisha uhusiano wa karibu na nchi mbalimbali za Afrika zilizo Kusini mwa Jangwa la Sahara. Huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, wengi hufurahia ushawishi wa Urusi katika suala la usalama na utamaduni. #bbcswahili #urusi #CAR Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw