“Tunataka kujenga mahema chini ya nyumba zetu zilizoharibiwa na kuishi humo,”

  • | BBC Swahili
    893 views
    Wakati Israel ikizidisha mashambulizi yake katika mji wa Rafah kusini mwa Gaza, watu waliokimbia makazi yao wameiambia BBC kwamba hawataondoka Gaza. Nusu ya Wapalestina wa Gaza wamehamia huko, baada ya kuondolewa kutoka maeneo ya kaskazini zaidi kutokana na mashambulizi ya Israel ya anga na ardhini. #bbcswahili #gaza #hamas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw