Skip to main content
Skip to main content

Tundu Lissu aingia Mahakama kuendelea na kesi

  • | BBC Swahili
    10,003 views
    Duration: 29s
    Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, Tundu Lissu, akiwasili mahakama kuu ya Dar es Salaam Tanzania kwa mwendeleo wa kesi inayomkabili ya uhaini. Hapo jana siku ya Alhamisi kesi iliahirishwa baada ya Lissu kuiambia mahakama kuwa hajala jambo lililoibua hofu na hasira miongoni mwa wafuasi wake baadhi waliangua kilio baada ya kusikia kauli hiyo. Aidha shahidi wa kwanza alisema kwamba 'aliona video ya Lissu akisema atakinukisha na uchaguzi mkuu hautafanyika'.Akimjibu Lissu alisema Nukisha inatokana na neno nuka na kwamba inaweza kuwa harufu nzuri au harufu mbaya' Kesi hii inaendelea na tutukujuza zaidi. #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw