Skip to main content
Skip to main content

Tundu Lissu: Kesi yaahirishwa baada ya mshitakiwa kusema hajala

  • | BBC Swahili
    38,884 views
    Duration: 24s
    Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, ameahirishiwa shauri lake baada ya kuieleza mahakama kuwa hajala. Wafuasi wake waliokuwa wamehudhuria mahakamani walishindwa kujizuia na kuangua kilio mara tu waliposikia kauli hiyo. Kutokana na hali hiyo, Jaji alilazimika kuahirisha kesi hadi kesho saa tatu asubuhi, ambapo shahidi wa pili anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake. #bbcswahili #siasa #lissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw