Turkana: Mamia ya wanafunzi wa shule za msingi wa Katamanak na Lokosimekori wasomea shule jirani

  • | NTV Video
    134 views

    Mamia ya wanafunzi wa shule za msingi wa Katamanak na Lokosimekori Turkana Mashariki wanasomea uhamishoni kwa shule jirani ya Nakukulas JSS baada ya vijiji vyao kushambuliwa na majambazi kutoka Kaunti jirani

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya