Tusker yakosa nafasi ya kilele baada ya sare na AFC Leopards

  • | NTV Video
    35 views

    Tusker imekosa nafasi ya kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya kandanda humu nchini, baada ya kutoka sare tasa na AFC Leopards uwanjani Kenyatta kaunti ya Machakos.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya