'Tutakutana baadaye' Hotuba ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza

  • | BBC Swahili
    Malkia Elizabeth II wa Uingereza ameliambia taifa lake kuwa baada ya dhiki hii ya ugonjwa wa Corona kutakuja faraja. Malkia alisema anawatambua Waingereza waliopoteza maisha yao mbali na athari ya ugonjwa wa Corona kwa jamii kiuchumi katika hotuba adimu aliyotoa kuifariji taifa lake. Alihitimisha hotuba yake kwa nukuu ya wimbo wa Vera Lynn “Tutakutana baadaye”. Tazama hotuba hii hapa #QueenElizabethII #Corona