- 17,187 viewsDuration: 49s"Katika muda mfupi ujao tutaunda tume ya maridhiano ikijumuisha wadau wote muhimu" - Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 imewasilishwa kwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan - - - #bbcswahii #oktoba29 #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw