Tuzo ya BBC ya Komla Dumor ya 2023 yazinduliwa

  • | BBC Swahili
    505 views
    BBC inamtafuta nyota anayechipukia katika uandishi wa habari barani Afrika kwa ajili ya Tuzo ya BBC World News Komla Dumor, ambayo sasa ni mwaka wake wa nane. Waandishi wa habari kutoka kote barani Afrika wanaalikwa kutuma maombi ya kuwania tuzo hiyo, ambayo inalenga kuibua na kukuza vipaji vipya kutoka barani humo. Mshindi atapata fursa ya kuwa katika makao makuu ya BBC mjini London, kwa miezi mitatu kupata ujuzi na uzoefu. Kupokelewa kwa maombi kutafungwa tarehe 14 Februari 2023 saa 23:5 #bbcswahili #talanta #komladumor