Tuzo za Rais | Rais Kenyatta Akariri Jukumu la Vijana katika Ustawi wa Kijamii Nchini

  • | KBC Video
    Rais aliyewakaribisha watu 907 waliotuzwa nishani za dhahabu kwenye mpango wa tuzo za kirais katika ikulu ya Rais jijini Nairobi, aliwapongeza kwa ustahimilivu wao na kuwa suluhu wakati wa mzozo. Kwa mara ya kwanza mpango huo uliwajumuisha maafisa 32 wa magereza na wafungwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #DarubiniyaChannel1 #RaisUhuruKenyatta