TVET imejipanga kuwasajili wanafunzi wasiokidhi mahitaji ya kujiunga na chuo kikuu

  • | NTV Video
    79 views

    Sekta ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (TVET) imejipanga kikamilifu kuwasajili wanafunzi wasiokidhi mahitaji ya kujiunga na chuo kikuu, huku serikali ikiweka kipaumbele katika uimarishaji wa ujuzi wa wanafunzi, miundombinu, na uimarishaji wa utoaji wa kozi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya