'Uadilifu unalipa kwani unamfanya mhusika kuishi bila mashaka'

  • | BBC Swahili
    450 views
    Sekretarieti ya maandili ya viongozi wa Umma nchini Tanzania imekemea tabia ya jamii kuwashabikia watu wanaojilimbikizia mali kinyume cha maadili. Pamoja na masuala mengine ya kimaadili, Kamishna wa Maandili wa sekretarieti hiyo, Jaji mstaafu Sivangilwa Mwangesi, amemweleza mwandishi wa BBC Florian Kaijage katika mahojiano maalum, kuwa uadilifu unalipa kwani unamfanya mhusika kuishi bila mashaka. Pia amezungungumzia matumizi ya magari ya umma kimaadili. #bbcswahili #tanzania #utumishiwaumma Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw