Uanzilishi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya umbali wa kilomita saba Kiambu

  • | K24 Video
    60 views

    Wakaazi wa wadi ya kihara na viunga vyake, katika eneo bunge la kiambaa kaunti ya Kiambu, wameshindwa kuficha furaha yao,hii ni baada ya kuanzishwa kwa mradi wa ujenzi wa barabara ya umbali wa kilomita saba inayounganisha kihara na eneo bunge jirani la kabete,ujenzi wake ukijili baada ya masaibu tele kwa wakaazi miaka mingi iliyopita.