Uapisho wa Tshisekedi I Rais Ruto ahudhuria hafla ya kuapishwa kwa rais wa Congo

  • | KBC Video
    232 views

    Ruto alikuwa miongoni mwa viongozi waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Félix Antoine Tshisekedi. Tshisekedi aliapishwa katika uwanja wa Martyrs mjini Kinshasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive