Ubomozi wa maduka ya biashara kwa ardhi ya serikali Bungoma umeanza

  • | West TV
    196 views
    Wafanyibiashara kadhaa mjini bungoma wanakadiria hasara baada ya kupewa notisi ya kuhama kufuatia kuendeleza biashara katika maduka ya kukodi yanayoshuhumiwa kujengwa kwenye ardhi ya serikali