Uboreshaji wa vyanzo vya maji na mito katika kaunti zote

  • | K24 Video
    43 views

    Huku taifa likiendelea kukabiliana na ukame na njaa, moja ya changamoto zinazokumba kaunti nyingi ni maji. Mamlaka ya rasilmali za maji imebuni idara ya kitaifa inayoleta pamoja zaidi ya makundi ya raslimali za maji kutoka kaunti zote kwa ajili ya kuboresha uhifadhi wa vyanzo vya maji na mito.