- 355 viewsDuration: 3:15Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Nairobi yaliyokamilika wiki iliyopita yalisheheni ubunifu na teknolojia mbalimbali za kuimarisha kilimo. Mojawapo ya ubunifu uliopata umaarufu ni Trekta yenye uwezo wa kuwapunguzia wakulima wadogo gharama ya uzalishaji. Teknolojia za kisasa za kilimo, Ng'ombe wa maziwa, na mbinu za kuhakikisha chakula salama, ni baadhi tu ya maonyesho ambayo pia yalitia fora.