Ubunifu wa wanafunzi wanaochora picha kwa kushirikiana

  • | BBC Swahili
    569 views
    Vijana wenye uwezo wa kuchora picha moja kwa wakishirikiana kwa wakati mmoja. Wanasema, awali ilikuwa ngumu kwa jamii kuwaelewa wanachokifanya, lakini baada ya kuonesha umahiri wao wa kuchora, jamii imeanza kuwaunga mkono. Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau amefanya mazungumzo na vijana hawa