Ubunifu wa wanagenzi

  • | West TV
    20 views
    Wanafunzi wa kilimo kutoka taasisi ya Friends Kaimosi wanaendeleza utafiti wa kuunda mbolea ya kiasili na dawa ya kuua magugu na kwekwe kutoka kwa migomba ya ndizi, kwa lengo la kupunguza madhara yanayoambatanishwa na matumizi ya mbolea na dawa za kisasa