Uchaguzi Kenya 2022: Muongozo wa kupiga kura nchini Kenya

  • | BBC Swahili
    596 views
    Wapiga kura nchini Kenya wanajitayarisha kuwachagua viongozi wao tarehe tisa mwezi Agosti mwaka huu . Mojawapo ya masuala muhimu yatakayofanyika siku hiyo ni kwa wapiga kura kufahamu jinsi ya kutekeleza haki hiyo yao-kupiga kura . Uchaguzi wa Agosti 9 utashuhudia idadi kubwa zaidi ya vituo vya kupigia kura , pamoja na wapiga kura waliojiandikisha. #bbcswahili #uchaguzi #uchaguzikenya2022