Uchaguzi Kenya 2022: Nani anayewania urais nchini Kenya?

  • | BBC Swahili
    718 views
    Kinyang'anyiro cha kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya unaotarajiwa Agosti 9, mwaka huu, kilivutia takriban wawaniaji 50 lakini ni wanne tu walioruhusiwa kugombea urais. Tazama video hii upate kuwahamu zaidi viongozi hawa wanne akiwemo Raila Odinga , William Ruto, George Wajackoyah na David Mwaure. #bbcswahili #uchaguzikenya2022 #siasa