Uchaguzi Kenya 2022: 'Nilihisi nimezaliwa upya baada ya kupata uraia'

  • | BBC Swahili
    1,204 views
    Jamii ya Washona nchini Kenya watapiga kura kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 9, 2022. - Kundi la kwanza la jamii hii liliwasili Kenya kutoka Zimbabwe miaka sitini iliyopita na kukupewa uraia mwaka 2020. - Mwandishi wa BBC Akisa Wandera ameandaa taarifa hii. Video:Jeff Sauke #bbcswahili #uchaguzikenya2022 #kenya