Uchaguzi Kenya 2022: 'Nilipigiwa simu nikiwa bafuni'

  • | BBC Swahili
    3,255 views
    Mwanaume mmoja kutoka Kisumu Kenya amejitokeza katika kituo cha kupigia kura akiwa amevaa ‘taulo'. Mwanaume huyo alimwambia mwanahabari wetu Roncliffe Odit kwamba alikuwa bafuni marafiki zake walipomwita ili aandamane nao hadi kituo cha kupigia kura na kwamba hakuweza kusubiri kuvaa nguo. #bbcswahili #uchaguzikenya2022 #Kenya