Uchaguzi Kenya 2022: Wakenya nchini Tanzania wataabika kupiga kura

  • | BBC Swahili
    1,852 views
    Huku zoezi la kupiga kura likiwa linaendelea katika ubalozi wa Kenya nchini Tanzania, baadhi ya wapigakura wameshindwa kupiga kura baada ya kutokuwa na vitambulisho walivyosajiliwa navyo. Afisa wa Tume ya Uchaguzi anasema sheria inawataka wanaopiga kura kuwa na kitambulisho ulichosajiliwa nacho. Katika ubalozi wa Kenya jijini dar- es-salaam kuna vituo viwili vya kupiga kura ambapo kila kituo kina wajumla ya wapiga kura 464. Mwandishi wa BBC @frankmavura ametuandalia taarifa hii. #bbcswahili #uchaguzikenya2022 #Tanzania