Uchaguzi Kenya 2022: Wakenya wajitokeza kupiga kura

  • | BBC Swahili
    15,785 views
    Mamilioni ya wakenya hii leo wanashiriki katika shughuli ya upigaji kura kuwachagua viongozi wao baada ya kampeni kali iliotawaliwa na mijadala kuhusu gharama ya maisha, ukosefu wa ajira na ufisadi. #kenya #uchaguzikenya2022 #bbcswahili