Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi mdogo unaendelea eneobunge la Isiolo south

  • | Citizen TV
    909 views
    Duration: 3:55
    Uchaguzi mdogo unaendelea katika eneobunge la Isiolo Kusini huku wakazi wakielekea debeni kumchagua mbunge wao. kiti hicho kimewavutia ndugu na dada, Tubi Mohammed Tubi na Bina Tubi, Wanaotaka kumrithi baba yao mohammed tubi, aliyefariki novemba mwaka jana.