Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi mdogo west kabras waendelea huku baathi ya vituo vimesajili idadi kubwa ya wapiga kura

  • | Citizen TV
    841 views
    Duration: 4:04
    Baadhi ya vituo vimesajili idadi kubwa ya wapiga kura katika wadi ya West Kabras, ambapo uchaguzi mdogo unaendelea. Shughuli hiyo ilianza saa kumi na mbili asubuhi ambapo wagombea sita wanawania kiti cha mwakilishi wadi kilichosalia wazi baada ya mwakilishi wake kupata kiti cha ubunge cha Malava.