Uchaguzi Mkuu TZ : Kampeni zaanza rasmi

  • | BBC Swahili
    1,826 views
    Siku 90 za kampeni zimeng'oa nanga rasmi nchini Tanzania huku mgombea wa chama tawala CCM - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni yake ya kwanza jijijini Dar es Salaam. Na huku Uchaguzi mkuu ukinukia, aliyekuwa mpeperusha bendera wa chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina na wanachama wengine wakiwa mjini Dar es Salaam wamesikiliza kesi iliyofunguliwa mahakamani DODOMA ambapo wamepewa siku tano kuishawishi mahakama kuridhia ombi lao? Je, mahakama itampa nafasi ya kuendeleza ndoto yake ama itaizima? @RoncliffeOdit anaangazia suala hili kwa kina mubashara usiku wa leo katika DIra ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube, BBC Swahili. #bbcswahili #dirayaduniatv #diratv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw