Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi mkuu Uganda. Katikka Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    24,274 views
    Duration: 28:10
    Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Uganda, baada ya raia wake milioni 21 kushiriki shughuli hiyo muhimu hii leo. Kinyang'anyiro cha Urais kimewavutia wagombea 8 akiwemo Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye anawania muhula wa saba baada ya takriban miongo minne madarakani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw