Uchaguzi Uganda 2021: Wanajeshi wa Uganda wavamia nyumba ya Bobi Wine

  • | BBC Swahili
    Hujambo? Karibu katika AMKA NA BBC, kwa muktasari tuliyonayo ni pamoja na ;- Wabunge wa chama cha Democracts tayari wamewasilisha nakala ya mashikata dhidi ya rais Donald Trump bungeni kwa nia ya kumng'oa mapema zaidi Wagombea wa viti mbali mbali nchini Uganda wataingia katika kampeini za lala salama hii leo , Je tathmini ikoje? Je umeshawahi kuzuru magofu ya kale ya Kunduchi ambako pia kunapatikana utamaduni usioshikika? Mungu fundi bwana leo hii utakuwa nami Regina Mziwanda na mwenzangu ni Roncliff Odit AMKA NA BBC #UchaguziUganda2021 #AmkanaBBC #Uganda #DonaldTrump