Uchaguzi Uganda 2021:Mgombea mdogo zaidi wa urais Uganda asisitiza uwekezaji

  • | BBC Swahili
    John Katumba ndio mgombea nafasi ya Urais mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea nchini Uganda Amejitosa kuwania nafasi hiyo akiwa na umri wa miaka 24 tu. Anasema kuwa sera yake kubwa ni kuunganisha Afrika kuwa kitu kimoja. '' Tumefungwa mikono na miguu kisha wanataka tupambane na mtu anaetumia ndege." #bbcswahili #uchaguziuganda2020 #Uganda