- 20,250 viewsDuration: 3:16Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine amewekwa katika kifungo cha nyumbani, siku moja baada ya uchaguzi, huku matokeo ya uchaguzi yakionyesha kwamba rais Yoweri Museveni akiongoza kwa asilimia 76 ya kura zilizohesabiwa. Uchaguzi huo ulishuhudia kampeni kali, ambapo mitandao ya Internet ilizimwa kuelekea siku ya uchaguzi. Museveni ametawala Uganda kwa miaka 40. Matokeo ya uchaguzi huo yanatarajiwa mapema siku ya jumamosi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive