Uchaguzi ulioandaliwa juma lililopita uliahirishwa eneo la Taita Taveta

  • | Citizen TV
    223 views

    Uchaguzi uliokuwa umeandaliwa wiki iliyopoita kuchagua kamati simamizi ya kituo cha kuongeza thamani ya madini huko voi uliahirishwa kwa sababu zisizoeleweka. Hatua hiyo sasa imesababisha mvutano miongoni mwa washikadau katika sekta ya madini huko voi. Aidha wachimba madini, wauzaji madini na madalali wanadi huenda kuna njama fiche kuhusiana na usimamizi wa kituo hicho.