Uchaguzi wa Agosti-2022 | IPOA yachunguza visa saba vya ghasia

  • | KBC Video
    23 views

    Halmashauri ya kutathmini utendakazi wa polisi, IPOA inachunguza visa saba vya ghasia zinazohusishwa na uchaguzi mkuu wa mwezi wa nane. Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Anne Makori amesema visa vya ufyatuaji risasi, ubakaji na ghasia vilikuwa vichache mwaka huu ikilinganishwa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2017. Makori aliwasifia maafisa wa polisi kwa kujizatiti kusimamia vyema uchaguzi huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #IPOA #News #uchaguziwa2022