Uchaguzi wa Bunge huko Afrika, Ufalme wa Eswatini.

  • | VOA Swahili
    133 views
    - - - - - Utawala wa kifalme huko Afrika, Ufalme wa Eswatini, unaendesha uchaguzi wa bunge, huku vyama vya siasa vikiwa vimepigwa marufuku kushiriki. Katiba inasisitiza “sifa ya mtu binafsi” ndiyo msingi wa kuchagua wabunge, ambao hawatakiwi kuwa na uhusiano na kundi lolote la kisiasa. Kuwa katika upande mzuri wa Mfalme Mswati wa Tatu, ambaye anashikilia madaraka kamili, pia kuna uzito mkubwa